Ufafanuzi msingi wa chata katika Kiswahili

: chata1chata2chata3

chata1

kitenzi sielekezi

  • 1

    toa sauti kama kumbikumbi au nyuki wanapochokozwa.

  • 2

    furahi

Matamshi

chata

/t∫ata/

Ufafanuzi msingi wa chata katika Kiswahili

: chata1chata2chata3

chata2

nomino

  • 1

    ndege ya kukodi.

Asili

Kng

Matamshi

chata

/t∫ata/

Ufafanuzi msingi wa chata katika Kiswahili

: chata1chata2chata3

chata3

nomino

Matamshi

chata

/t∫ata/