Ufafanuzi msingi wa chati katika Kiswahili

: chati1chati2chati3chati4

chati1

nominoPlural chat.i, Plural chati

 • 1

  mchoro katika karatasi unaoeleza habari fulani.

  jedwali

Ufafanuzi msingi wa chati katika Kiswahili

: chati1chati2chati3chati4

chati2

nominoPlural chat.i, Plural chati

 • 1

  mawasiliano ya papo kwa papo kimaandishi kupitia mtandao.

Ufafanuzi msingi wa chati katika Kiswahili

: chati1chati2chati3chati4

chati3

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  wasiliana papo kwa papo kimaandishi kupitia mtandao.

Ufafanuzi msingi wa chati katika Kiswahili

: chati1chati2chati3chati4

chati4

nominoPlural chat.i, Plural chati

 • 1

  orodha ya wiki ya vibao vya muziki au rekodi za muziki zenye kutamba au kuwa maarufu kwa kuuzwa, kupigiwa kura redioni au kupakuliwa zaidi kutoka kwenye mtandao wa intaneti.

Asili

Kng

Matamshi

chati

/t∫ati/