Ufafanuzi wa chawa katika Kiswahili

chawa

nomino

  • 1

    mdudu mdogo anayekaa mwilini mwa mwanadamu, hasa katika nywele na nguo chafu na humnyonya damu.

Matamshi

chawa

/tâˆĞawa/