Ufafanuzi wa chaza katika Kiswahili

chaza

nominoPlural chaza

  • 1

    kidudu cha baharini kikaacho katika kijumba mfano wa kombe; huwa wa aina nyingi.

    ‘Chaza kolombwe’
    ‘Chaza jogoo, n.k.’
    kombe

Matamshi

chaza

/t∫aza/