Ufafanuzi wa chazo katika Kiswahili

chazo

nominoPlural chazo

  • 1

    aina ya samaki wa bahari ambaye hutumiwa kama chambo cha kuvulia kasa.

Matamshi

chazo

/t∫azɔ/