nominoPlural chechele
- 1
tabia ya kupitiwa au kusahau.
usahaulifu
nominoPlural chechele
- 1
mdudu mdogo ambaye watu wengine huamini kuwa akikanyagwa, mtu husahau mahali aendako au hupotea njia.