Ufafanuzi wa chechesha katika Kiswahili

chechesha

kitenzi elekezi

  • 1

    bembeleza mtoto; cheza na mtoto.

Matamshi

chechesha

/t∫ɛt∫ɛ∫a/