Ufafanuzi wa chechetuka katika Kiswahili

chechetuka

kitenzi sielekezi

  • 1

    fanya mambo kwa papara bila ya kutulia.

    ‘Baada ya kusikia amefaulu mtihani wake alianza kuchechetuka kwa furaha’

Matamshi

chechetuka

/t∫ɛt∫ɛtuka/