Ufafanuzi wa chega katika Kiswahili

chega

kitenzi elekezi

  • 1

    kata nywele.

    nyoa

  • 2

    kata nafaka iliyokwisha kuiva au kukomaa shambani.

Matamshi

chega

/t∫ɛga/