Ufafanuzi wa cheichei katika Kiswahili

cheichei

nomino

  • 1

    tamko linalotumika na watoto kwa kusalimia.

Matamshi

cheichei

/t∫ɛjit∫ɛji/