Ufafanuzi wa chekecha katika Kiswahili

chekecha, chichita

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    engua vitu vikavu kwa mtikiso k.v. kutenga unga na chenga kwa chungio au chekeche.

  • 2

    chagua, tenga

Matamshi

chekecha

/t∫ɛkɛt∫a/