Ufafanuzi msingi wa chekechea katika Kiswahili

: chekechea1chekechea2chekechea3

chekechea1

nominoPlural chekechea

  • 1

    aina ya ndege wanaokula mbegu.

Matamshi

chekechea

/t∫ɛkɛt∫ɛja/

Ufafanuzi msingi wa chekechea katika Kiswahili

: chekechea1chekechea2chekechea3

chekechea2

nominoPlural chekechea

  • 1

    vitu vidogo.

Matamshi

chekechea

/t∫ɛkɛt∫ɛja/

Ufafanuzi msingi wa chekechea katika Kiswahili

: chekechea1chekechea2chekechea3

chekechea3

nominoPlural chekechea

  • 1

    watoto wadogo, agh. wenye umri usiozidi miaka mitano.

Matamshi

chekechea

/t∫ɛkɛt∫ɛja/