Ufafanuzi wa chekelea katika Kiswahili

chekelea

kitenzi elekezi

  • 1

    toa kicheko chenye kuashiria kufurahia jambo; endelea kucheka.

Matamshi

chekelea

/t∫ɛkɛlɛja/