Ufafanuzi wa chelebuni katika Kiswahili

chelebuni

nomino

  • 1

    ugonjwa unaoharibu buni zinapokuwa bado mtini.

Matamshi

chelebuni

/t∫ɛlɛbuni/