Ufafanuzi wa cheleko katika Kiswahili

cheleko

nominoPlural cheleko

  • 1

    sehemu ya juu ya ngalawa.

  • 2

    uti wa chombo.

    mastamu, mkuku

Matamshi

cheleko

/t∫ɛlɛkɔ/