Ufafanuzi msingi wa chema katika Kiswahili

: chema1chema2

chema1

nominoPlural vyema

  • 1

    kitu kinachopendeza; kizuri.

Matamshi

chema

/t∫ɛma/

Ufafanuzi msingi wa chema katika Kiswahili

: chema1chema2

chema2

kivumishi

  • 1

    -enye kupendeza.

Matamshi

chema

/t∫ɛma/