Ufafanuzi wa chembe cha moyo katika Kiswahili

chembe cha moyo

  • 1

    mbonyeo baina ya gegedu za mbavu za chini za mwanadamu ambazo hazikuungana na mfupa wa mbavu; chembembe.