Ufafanuzi wa chemka katika Kiswahili

chemka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  pata joto kwa kitu cha majimaji kiasi cha kuanza kugeuka mvuke.

 • 2

  zidisha hali ya kuwa na nguvu zaidi.

 • 3

  kuwa mkali.

  kasirika

Matamshi

chemka

/t∫ɛmka/