Ufafanuzi wa chemsha katika Kiswahili

chemsha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    weka motoni kitu cha majimaji mpaka kipate moto sana.

  • 2

    shughulisha sana au fanyia mtu ukali.

Matamshi

chemsha

/t∫ɛm∫a/