Ufafanuzi wa chemshabongo katika Kiswahili

chemshabongo

nominoPlural chemshabongo

  • 1

    maswali ya kufikirisha ambayo mtu hutakiwa kuyajibu harakaharaka.

  • 2

    fumbo la jedwali linalofumbuliwa kwa kujaza maneno katika mistari.

Matamshi

chemshabongo

/t∫ɛm∫abɔngɔ/