Ufafanuzi msingi wa chengo katika Kiswahili

: chengo1chengo2

chengo1

nominoPlural chengo

 • 1

  nyumba, makazi au kijiji cha mtu.

 • 2

  kambi ya msafara; kambi ya kozi.

  kituo, kambi

Matamshi

chengo

/t∫ɛngɔ/

Ufafanuzi msingi wa chengo katika Kiswahili

: chengo1chengo2

chengo2

nominoPlural chengo

 • 1

  samaki wadogowadogo kwa pamoja.

Matamshi

chengo

/t∫ɛngɔ/