Ufafanuzi wa chenza katika Kiswahili

chenza

nominoPlural machenza

  • 1

    tunda namna ya chungwa lakini dogo na lenye maganda laini zaidi.

Matamshi

chenza

/t∫ɛnza/