Ufafanuzi wa chepe katika Kiswahili

chepe

nomino

  • 1

    mtu asiyejali wala kustahi mtu.

  • 2

    mtu anayechekesha watu kwa maneno au mwenendo wake.

Matamshi

chepe

/t∫ɛpɛ/