Ufafanuzi wa chepeo katika Kiswahili

chepeo

nominoPlural vyepeo

  • 1

    kofia yenye ukingo wa nusuduara uliotokeza mbele inayoshonwa kwa kitambaa cha nguo, turubai, plastiki, n.k..

Asili

Kre

Matamshi

chepeo

/t∫ɛpɛɔ/