Ufafanuzi wa cherema katika Kiswahili

cherema

kivumishi

  • 1

    (kwa muhogo, viazi, n.k.) kukosa uwanga.

  • 2

    -enye umajimaji.

    chege

Matamshi

cherema

/t∫ɛrɛma/