Ufafanuzi wa chewale katika Kiswahili

chewale

kielezi

  • 1

    bila ya kusumbukia au kugharimia.

    bwerere, rahisi, bure, bahasa

Matamshi

chewale

/t∫ɛwalɛ/