Ufafanuzi wa chifu katika Kiswahili

chifu

nominoPlural machifu

 • 1

  (huitwa kwa majina mbalimbali kufuatana na sehemu anayotawala) mtawala wa jadi; k.v. kabaka, mtemi, mkama, mangi, shomvi au tamimu.

 • 2

  kiongozi mkuu wa kiserikali wa eneo mojawapo k.v. lokesheni au tarafa; katibu tarafa.

 • 3

  mkubwa, mkuu.

  ‘Chifu edita’

Asili

Kng

Matamshi

chifu

/t∫ifu/