Ufafanuzi wa chigi katika Kiswahili

chigi

nomino

  • 1

    ndege mdogo jamii ya chozi mwenye rangi ya manjano.

    chozi

Matamshi

chigi

/t∫igi/