Ufafanuzi wa chikichia katika Kiswahili

chikichia

kitenzi sielekezi

  • 1

    fanya ujanja wa kuchukua fedha au mali ya mtu bila mwenyewe kuridhia.

Matamshi

chikichia

/t∫ikitʃija/