Ufafanuzi msingi wa chimba katika Kiswahili

: chimba1chimba2

chimba1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa, ~ana

 • 1

  toa udongo ardhini kwa kutumia jembe au beleshi.

  ‘Chimba kaburi’
  ‘Chimba njugu’

 • 2

  soma kwa kina.

Matamshi

chimba

/t∫imba/

Ufafanuzi msingi wa chimba katika Kiswahili

: chimba1chimba2

chimba2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa, ~ana

 • 1

  leta msiba au kisirani.

 • 2

  takia mtu mabaya.

 • 3

  fuatafuata mtu kazini na kumfanyia fitina au vitimbi.

Matamshi

chimba

/t∫imba/