Ufafanuzi wa chimbua katika Kiswahili

chimbua

kitenzi elekezi~ka, ~lia, ~liana, ~lisha, ~za, ~liwa

  • 1

    toa kitu kutoka ardhini.

    fukua

  • 2

    tafuta asili ya kitu au jambo.

Matamshi

chimbua

/t∫imbuwa/