Ufafanuzi msingi wa chini katika Kiswahili

: chini1chini2

chini1

nominoPlural chini

 • 1

  kwenye sakafu au ardhi; kinyume cha juu.

  ‘Teremka chini’

 • 2

  ndani ya ardhi, pango au meli.

Matamshi

chini

/t∫ini/

Ufafanuzi msingi wa chini katika Kiswahili

: chini1chini2

chini2

nominoPlural chini

 • 1

  (ms) sehemu ya mbele ya mtu ya faragha.

  uchi, tupu

Matamshi

chini

/t∫ini/