Ufafanuzi wa chipuka katika Kiswahili

chipuka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kwisha kuota kwa mbegu na kuonekana juu ya ardhi.

    fundua

Matamshi

chipuka

/t∫ipuka/