Ufafanuzi wa chiriku katika Kiswahili

chiriku

nomino

  • 1

    ndege mdogo mwenye kelele sana.

  • 2

    mtu apendaye kusemasema sana.

Matamshi

chiriku

/tâˆĞiriku/