Ufafanuzi wa chiririka katika Kiswahili

chiririka

kitenzi sielekezi

  • 1

    pita kwa kasi ndogo mfululizo kwa kitu kiowevu.

Matamshi

chiririka

/t∫iririka/