Ufafanuzi msingi wa chizi katika Kiswahili

: chizi1chizi2

chizi1

nomino

 • 1

  chakula kinachotengenezwa kwa maziwa ya kugandishwa.

  jibini

Asili

Kng

Matamshi

chizi

/t∫izi/

Ufafanuzi msingi wa chizi katika Kiswahili

: chizi1chizi2

chizi2

nomino

 • 1

  mtu afanyaye mambo ya kihunihuni.

  chakaramu

 • 2

  mtu mwenye wazimu au mwenye akili kidogo.

Matamshi

chizi

/t∫izi/