Ufafanuzi msingi wa choa katika Kiswahili

: choa1choa2

choa1

nominoPlural vyoa, Plural choa

  • 1

    ugonjwa unaosababisha ngozi kuwa na madoa.

Ufafanuzi msingi wa choa katika Kiswahili

: choa1choa2

choa2

nominoPlural vyoa, Plural choa

  • 1

    doa au alama juu ya ngozi.

    punje

Matamshi

choa

/t∫ɔwa/