Ufafanuzi wa chocha katika Kiswahili

chocha

kitenzi elekezi

  • 1

    gusagusa kwa kitu chenye ncha bila ya kukisukuma ndani kwa nguvu.

    dunga

  • 2

    kunywa ulevi mwingi.

    ‘Chocha hadi kulewa’

Matamshi

chocha

/t∫ɔt∫a/