Ufafanuzi wa chochota katika Kiswahili

chochota

kitenzi sielekezi

  • 1

    washawasha kama kidonda kinapotiwa dawa.

    chonyota

Matamshi

chochota

/t∫ɔt∫ɔta/