Ufafanuzi wa chokaa katika Kiswahili

chokaa

nominoPlural chokaa

  • 1

    unga mweupe ambao hupatikana kwa kuchoma mawe na hutumiwa kupaka kuta za nyumba, kutafunia tambuu na kwa kujengea.

    ‘Choma chokaa’
    ‘Paka chokaa’

Matamshi

chokaa

/t∫ɔka:/