Ufafanuzi wa choki katika Kiswahili

choki

nominoPlural choki

  • 1

    mmea wenye maua ya rangi ya manjano na meupe na wenye matunda yenye mbegu zilizofunikwa na nyoyanyoya za hudhurungi nyeupe.

Matamshi

choki

/t∫ɔki/