Ufafanuzi wa chokoa katika Kiswahili

chokoa

kitenzi elekezi

  • 1

    tia kitu chenye ncha kwenye tundu au shimo ili kutoa kilichomo ndani.

    ‘Chokoa meno’
    ‘Chokoa pweza’

Matamshi

chokoa

/t∫ɔkɔwa/