Ufafanuzi wa chokomeza katika Kiswahili

chokomeza

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    shindilia mfuko au gunia kidogokidogo mpaka lijae.

    sokomeza

Matamshi

chokomeza

/tʃɔkɔmɛza/