Ufafanuzi msingi wa chokora katika Kiswahili

: chokora1chokora2

chokora1

nominoPlural machokora

  • 1

    mtoto mdogo wa kiume.

  • 2

    mtu anayefanya kazi ndogondogo jikoni ama kazi za nyumbani kama ajira au kibarua.

    boi

Asili

Khi

Matamshi

chokora

/t∫ɔkɔra/

Ufafanuzi msingi wa chokora katika Kiswahili

: chokora1chokora2

chokora2

kitenzi elekezi

Matamshi

chokora

/t∫ɔkɔra/