Ufafanuzi wa chomea katika Kiswahili

chomea

kitenzi elekezi

  • 1

    kanda kwa maji ya moto.

  • 2

    ziba kiraka kwa moto.

Matamshi

chomea

/t∫ɔmɛja/