Ufafanuzi wa chomoza katika Kiswahili

chomoza

kitenzi sielekezi

  • 1

    tokeza k.v. jua linapotokeza alfajiri.

    ‘Jua linachomoza’
    tokeza

Matamshi

chomoza

/t∫ɔmɔza/