Ufafanuzi wa chondechonde katika Kiswahili

chondechonde

kielezi

kishairi
  • 1

    kishairi neno la kuhimiza mtu afanye au asifanye jambo fulani.

    ‘Chondechonde niambieni huyo ni mgeni wa nani?’

Matamshi

chondechonde

/t∫ɔndɛt∫ɔndɛ/