Ufafanuzi wa chongea katika Kiswahili

chongea

kitenzi elekezi

  • 1

    tilia fitina.

    kandia, ponza

  • 2

    letea hasara au madhara.

    ‘Pombe ndiyo iliyomchongea akafutwa kazi’

Matamshi

chongea

/t∫ɔngɛja/