Ufafanuzi wa chongoa katika Kiswahili

chongoa

kitenzi elekezi~ka, ~lea, ~leana, ~lewa, ~sha

  • 1

    chonga kitu au fanya kitu kiwe na ncha kali.

Matamshi

chongoa

/t∫ɔngɔwa/