Ufafanuzi msingi wa choo katika Kiswahili

: choo1choo2choo3

choo1

nominoPlural vyoo, Plural choo

 • 1

  mahali pa kwenda haja.

  msala

Matamshi

choo

/t∫ɔ:/

Ufafanuzi msingi wa choo katika Kiswahili

: choo1choo2choo3

choo2

nominoPlural vyoo, Plural choo

 • 1

  uchafu unaotoka kwenye tupu ya mbele au ya nyuma; mkojo au kinyesi.

  haja, kinyesi, mavi

Matamshi

choo

/t∫ɔ:/

Ufafanuzi msingi wa choo katika Kiswahili

: choo1choo2choo3

choo3

nominoPlural vyoo, Plural choo

 • 1

  mnyoo mwenye rangi ya hudhurungi au ya kunde apatikanaye katika matope ya bahari na ambaye hutumiwa kuwa ni chambo cha kuvulia samaki.

  daa

Matamshi

choo

/t∫ɔ:/